| english || suomi || kiswahili |

KARIBU!

Mwamba Productions ni kampuni ya uzalishaji inayoendeshwa na Miikka "Mwamba" Kari kuanzia 2004.

Mwamba Productions inatoa huduma za uzalishajii wa muziki, video, mashauriano nk. Baadhi ya mashirika / makampuni niliofanya nayo kazi ni: Radio X3M (YLE), Rinneradio, TAYOA, Rockadillo Production, KEPA nk.

Kwa maarifa zaidi kuhusu kazi zangu na mimi kwa ujumla unaweza kupata kwenye sehemu ya Kuhusu mimi. Pia utakuta vionjo vya kazi zangu (muziki na video) kwenye sehemu za Video na Audio. Kwa mawasiliano tembelea sehemu ya Mawasiliano.

| MWANZO || KUHUSU MIMI || AUDIO || VIDEO || VIUNGO || MAWASILIANO || RSS |

© 2007-2009 Mwamba Productions / Miikka Kari

VISIT MWAMBA PRODUCTIONS GALLERY AT CD Baby TO BUY MP3s AND CDs